Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, October 1, 2014

Tumerejea kwa kishindo

Mu hali gani wapenzi wasomaji wetu. Kwa muda mrefu sana tumekuwa nje ya kilinge hiki kutokana na sababu mbalimbali ambazo kwa namna moja au nyingine zimepelekea kupotea sana hewani na wasomaji wetu kukosa yale waliyokuwa wamezoea kuyapata kutoka kwetu.

Moja ya sababu iliyopelekea kupotea hewani ni kuanzishwa kwa gazeti la Mbiu ya Jamii ambalo hakika lilichukua sehemu kubwa ya muda na rasilimali hata kushindwa kuwepo hewani. Lakini sasa Mbiu ya Jamii imekua na imesambaa vya kutosha. Sasa tumekuwa jeshi kamili, tunapiga vita vya nchi kavu na angani pia tumerejea.

Tunawaahidi wasomaji wetu mambo murua kwa ubora wa juu zaidi ya ule wa awali kabla hatujaadimika.

Aluta Continua!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda