Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, February 25, 2013

Yaliyojiri katika Mdahalo na Mheshimiwa Cecili Paresso

Ijumaa iliyopita niliongoza mdahalo wa kwanza kabisa kupitia mtandao wa kijamii wa facebook katika group la TAWI LA CHADEMA KARATU ambapo wadau mbalimbali walipata fursa ya kuuliza maswali na kujadiliana na Mheshimiwa Cecilia Paresso (Mbunge wa viti maalum CHADEMA-Karatu). 

Mdahalo huo wa kwanza ulikuwa na mada inaosema Je kuna mikakati gani ya kufufua michezo (hasa riadha) katika jimbo la Karatu?

Hakika mdahalo huu ulifana sana kwani kwa muda wa takribani dakika tisini wadau walioshiriki na mheshimiwa Mbunge walijadiliana mengi sana yenye tija siyo tu kwa jimbo la Karatu bali hata kwa nchi nzima. Hivi ndivyo mdahalo ulivyokuwa


Habari za sahizi wanaKaratu, kwanza nianze kwa kuomba radhi kwa kuchelewa kwa dakika 15 kutokana na sababu za kimtandao.
Mada iliyopo ni
Je kuna mikakati gani ya kufufua michezo (hasa riadha) katika jimbo la Karatu?
Kwa kutuanzishia mada hii tunaye Mbunge wa viti maalum mheshimiwa Cecilia Pareso.
Like ·  ·  · Friday at 9:16pm

1 comment:

  1. action speaks louder than words..

    Nasubiri kuona vitendo zaidi.
    Samahani kusema ila viongozi wengi hapa TZ ni maneno mengi na mchezo wa ku "blame" one another .

    DO something . tumechoka na porojo especially when comes to sports.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda