Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, February 4, 2013

MIAKA 36 YA CCM: AIBU KUBWA DODOMA

Wakati CCM ikisherehekea kuadhimisha miaka 36 toka kizaliwe mwaka 1977, mjini Dodoma makada wa chama hicho tawala (maarufu kama magamba) wakiongozwa na "waheshimiwa" wabunge walizua tafrani na vurugu kubwa wakigombea mlingoti wa bendera ili watwike bendera ya CCM.
Inashangaza sana kuona "watunga sheria" wakigeuka "wavunja sheria" na inatia mashaka na maswali mengi kuhusu aina ya viongozi tulionao nchini na kwa aina hii ya viongozi ndiyo maana maamuzi mengi yanayofanyika hufanywa kishabiki tu.


Kisa:CCM waling'oa bendera ya chadema iliyokuwepo uwanjani karibu na baa ya mwanga ili watundike zao kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 36. Wabunge walioshiriki:Ismail aden Rage-Tabora mjini(picha ya kulia anaonekana),Nyambari nyangwine-Tarime,Selemani Jafo-Kisarawe,Said Mtanda-Mchinga na Mary Chatanda-Viti maalumu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda