Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, November 5, 2012

Wananchi wa Haydom "walipoipindua" Serikali katika Picha

Umati wa wananchi kabla ya kuanza kwa mkutano

Wananchi wakiwa kwenye vikao visivyo rasmi kabla mkutano haujaanza rasmi

Rejista ya Majina ili kuhakikisha idadi (cor-rum) inakamilika ili kuupa mkutano huo uhalali wa kufanya maamuzi

Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Haydom akitoa maelezo yaliyozua tafrani kwa takribani saa nzima

Kutoka kushoto ni Bryson Emmanuel, mwenyekiti aliyepinduliwa kwa nguvu ya umma, katikati ni diwani wa Kata ya haydom Nasaeli Sulle na Kulia na Rumay, mjumbe wa serikali ya kijiji

Vigogo wa Haydom kabla ya "wapiga kura" kuwataka wakae pembeni


Afisa Mtendaji wa Kata ya Haydom Bw. G. Isaay akitoa maelezoDiwani naye alijaribu kuweka mambo sawa, kabla ya "kuusoma upepo" na kuamua kuwa upande wa wapiga kura

Watu kibao

Huyu ndiye Elisamehe, moja wa viongozi wa mapinduzi hayo

Mwenyekiti wa Kijiji cha Ngw'andakw Bw. Mathis Mollam (wa tatu kushoto) akifuatilia mchakato huo. Bwana Mollam aliponea chupuchupu kupinduliwa na wananchi kijijini kwake hivi karibuni

Huyu mzee alikuwa akiongea kwa kunukuu vufungu

Baba Paroko akinukuu vifungu vya katiba, watu walikuwa wamejipanga


Mama Suluo akitema cheche, chezea huyu mama wewe

Mwenyekiti baada ya kuwekwa pembeni akisomewa tuhuma na hukumu, chezea wananchi wa Haydom

Ni kama anasema "ondokeni"

Viongozi wa serikali ya Mpito, Katibu Godlove Mushi (kushoto) na mwenyekiti Mchungaji Emmanuel Fissoo (kulia)

Ofisi ya kijiji chini ya Utawala wa wananchi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda