Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Sunday, November 11, 2012

Matokeo ya Kura ya Maoni: Wakulima hawapati pembejeo na mbolea kwa wakati

Kila wiki Ohayoda huchukua maoni ya wasomaji wake kuhusu masuala mbalimbali katika jamii yetu. Wiki iliyopita Ohayoda ilitaka kujua kama wakulima wamepata mbolea na pembejeo kwa wakati muafaka wakati tukielekea katika msimu wa kilimo.

Asilimia 80 (80%) ya waliopiga kura walisema kuwa mbolea na pembejeo haziwafikii wakulima kwa wakati muafaka na asilimia 20 (20%) ya wasomaji walijibu kuwa zinawafikia kwa wakati muafaka.

Kutokana na matokeo hayo, Ohayoda inatoa wito kwa wahusika kulishughulikia suala hili ili wananchi hasa wakulima ambao ndio wanaolilisha taifa waweze kupata huduma hiyo muhimu kwa wakati.

ANGALIZO: Haya ni maoni ya wasomaji wa Ohayoda na si msimamo wa Ohayoda

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda