Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Friday, November 2, 2012

BEST OF LUCKS LUCY

Kesho ndiyo kesho....hatimaye shindano la kumsaka mrembo wa Tanzania yaani Redds Miss Tanzania 2012 linafikia tamati na moja kati ya washiriki 30 atatwaa taji hilo la juu zaidi katika tasnia ya Urembo nchini.

Katika fainali hizo, yupo Miss Haydom, Miss Mbulu, Miss Manyara na Miss Kanda ya Kaskazini Lucy Stephano ambaye pia anashikilia taji la Redds Miss Photogenic 2012. Kufikia hatu hiyo Lucy siyo tu amewakilisha vyema Haydom na Mkoa wa Manyara kwa ujumla, bali pia ameitendea haki Kanda ya Kaskazini.

Kwa niaba ya WanaHaydom, WanaManyara, Kanda ya Kaskazini na Waomaji wote wa Ohayoda kwa ujumla tunamtakia Lucy mafanikio na ushindi katika fainali hizo ili hilo Taji la juu zaidi liweze kuletwa kitongoji cha Qaway na kukatiza mitaa mbalimbali huku kwetu na kuutangaza mkoa wetu wa Manyara.

Best of Lucks Lucy!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda