Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Tuesday, October 30, 2012

Watuhumiwa wa Ujangili Yaeda Chini pichani

Watu 9 wanaotuhumiwa ujangili wakiwa chini ya ilinzi huku wakiwa wamefungwa kamba,mara baada ya kukamatwa wakiwa na nyama (hazipo pichani) wamewinda juzi katika hifadhi ya bonde la Yaeda chini, pembeni ni moja ya gari walilokua wamejaza nyama, walikamatwa na  nyumbu 5 na kanga 3 wakiwa na thamani ya zaidi ya mil.3.2 wakisuburia kwenda kituo cha polisi Mbulu,ambapo jana walifikishwa maakamani (Picha na Mary Margwe).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda