Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, October 3, 2012

Katika Picha: Get together ya Kamati ya ujenzi wa maabara na Maktaba Haydom School of Nursing

Wanakamati wakiwa na mwenyekiti wa Bodi ya HSN wakikagua ujenzi

Beatrice alikuwa kapozi kivyake chini ya mti

Beatrice Githiri nadhani utamu wa soda ulikolea


Nyuso za furaha kila mahali, kutoka kushoto ni N/O Ruth Mneney, Edith Gaetang na Iluminata Awet


Mzee masuja naye alikuwa ndani ya "kamati"


Mchungaji wa HLH akiwa na Andrea Naman

Kutoka kushoto ni Martha Massawe, Upendo Elibariki, Joseph Ndukusi na Daudi Mayyega

"Maza Hause" wa Blogger Angela Baynit ambaye ni Incharge wa wodi ya watoto yaani Lena Ward ya HLH(kushoto), Pasckalina Bayo na mtaalamu wa Laundry ya HLH


Kutoka kulia ni HR wa HLH dada Huruma, Afisa Habari wa HLH Amon Ndeki, "Boss" wa Maabara wa HLH Yekonia na mtaalamu moja ambaye blogger hakulipata jina lake mara moja

Aliyekuwa kaimu mkuu wa chuo HSN akisisitiza jambo

Kamati nzima katika picha ya pamoja

Work in Progress...
No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda