Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, October 22, 2012

Hatimaye ile Documentary film kuhusu maisha ya Wairaqw, Wahadzabe, Wadatooga na Wanyiramba/wanyisanzu yakamilika

Na Amani Paul
Haydom
Huu ndio muunekano wa "kava" likiwa katika hatua za mwisho. 
Ile Documentary film kuhusu Historia na Maisha ya makabila ya Wahadzabe, Wairaqw, Wanyiramba/wanyisanzu na Wadatooga imeshaepuliwa tayari kuingia mitaani. Filamu hii yenye urefu wa takribani dakika 80 ni "Four in One" yaani unapata madikodiko ya jamii zote nne katika DVD moja.
Yapo mengi usiyoyajua kuhusu haya makabila na unayoyajua utayafahamu kwa undani zaidi. Kama unahitaji nakala tafadhali usisite kuwasiliana nasi ili uwekewe nakala yako ambayo itakuwa ikipatikana sehemu mbalimbali katika mikoa ya Manyara, Singida, Arusha na Dar es Salaam. Wauzaji wa rejareja wanakaribishwa (vigezo na masharti kuzingatiwa)

kwa maelezo zaidi kuhusu filamu hii unaeza kusoma makala za nyuma hapa hapa ohayoda ambapo tumeeleza mengi kuhusu filamu hii au gonga hapa http://ohayoda.blogspot.com/2012/08/4ccp-kutoa-filamu-inayoelezea-historia.html

Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana kwa kupitia
0784238225/0762395424
au kwa email amanipaulit@gmail.com

1 comment:

  1. aah sana tu...ntahitaji copy yangu..nipe bei tu ndugu...hongera sana kwa kukamilisha...

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda