Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, October 22, 2012

...FLEGMATICS;..Hivi Kwanini Mungu Hakutuumba wote Flegmatics, Yaani Dunia ingekuwa kama Paradiso Lakini....

Na Nelson Faustin 2nd From Right.
UA lililonyauka, The Late Roby
Neema ya Mungu ametupa nafasi ya kuwa kama tulivyo leo na kupata kibali cha kuwa katika kundi lolote ulilopo na usimalumu Mungu kwani anamakusudi kamili kabisa na kwa nini akatuumba hivi na kutupa tofauti tulizonazo. Ngoja nikwambie kitu, ili kuwa kamili lazima kuwepo na utotauti ndo mana nillipojiuliza swali kama hilo hapo juu nikasema tu kuwa, Mungu anabaki kuwa Mungu na apokee sifa kwa kila tofauti aliyotupa ila hata sikumoja tusiruhusu tofauti zetu za kihaiba (personality differences), social, political, economic na zingine nyingi zitufanye tushindwe kusonga mbele kimaisha. Imani ndo mbaya zaidi kama tukitofautiana alafu tukazipa kipaumbele zitatugharimu sana.

My Big Boy full Kuuza.

Museo&Olambo
Tumalizie zile sifa njema za FLEGMATIKI kabla ya kuangalia yale mapungufu yake kwani tunafahamu kuwa kila binadamu ana mapungufu tena mengi sana na tupo hapa ili kujifunza na baada ya kujifunza unapata nafasi ya kujifahamu na kuweza kuishi maisha yenye utoshelevu sana licha ya mapungufu uliyonayo.

Sifa njema za flegmatiki katika kumalizia ni kama vile zifuatazo:-
Muslims and Christians Pamoja.


 • Ni watu wasipenda kukwaza wengine, siku zote wapo katika "fairplay zone".
 • Nnje ya kikundi cha watu Flegmatiki ni mtu ambaye anauwezo mkubwa sana wa  kuwachekesha wenzake kwa "statements fupi" hata kama yeye hachek kutokana na kile watu wanachookiita "unexpected incidence".
 • Kwa kawaida ni wasemaji lakini kwa sauti ya chini na ya upole/unyoofu.
 • Kwa asili Flegmatiki ni mtu ambaye ana maadili sana. Kwa kawaida unaweza kuwakuta kwenye shughuli za kiroho na kuwasaidia wengine, hata kama akibadilika basi si saaaaaaaaaaaaaaana
 • Kikazi zaidi c/o Dr. Franc
 • Kama ni mzazi, wapo katika nafasi nzuri sana ya kulea familiya katika maadili ya hali ya juu sana sana, na hata kama watoto wanaonekana kuwa wagumu, kisaikolojia hali yake ya unyofu ni rahisi kumpa nafasi ya kujirekebisha na kukua vyema.
 • Ni wepesi sana kuchukuliana na hali fulani bila ya mabishano na malalamiko.
 • Wanauwezo mkubwa sana wa kulea vipawa vya watu wengine katika kila hali.
 • Ni wana saikolojia wazuri sana sana kutokana na hali yao ya unyofu, hapa kweli hata mimi napenda, yani lazima upone.
 • Kwa ujumla hawa wajamaa ni wa staarabu sana.
 • Ni waaminifu sana sana, na hata akikosa kuwa na uaminifu, basi ile hulka yake ya uflegmatiki inampa nafasi ya kuumia sana na kufanya kama anavyopaswa kufanya.
 • Ni wepesi kuridhika bila ya kunung'unika ili kuepusha maneno na suluba kwa watu wengine.
Mama Medard&Madam Vai.

Sasa, katika kujifunza usiache kukumbuka kuwa, unapaswa kulifahamu kundi lako na kulifanyia kazi kwa kuangalia sifa njema ulizonazo na mapungufu yako ili uweze kuishi maisha yenye utoshelevu.

Sangwini na Melankoli
Nakutakia kila jema.
Smiling People, Son and his godfather.

Mungu akubariki ndugu  Yangu.


                                                          Tuonane Kipindi kijacho....................

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda