Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Tuesday, September 18, 2012

Vijana wa MBULU YOUTH GROUP waishio Dar Kukutana 23/09/2012

NDUGU WANAGROUP HII POPOTE MLIPO TUNAPENDA KUWAFAHAMISHA KUWA TAR 23/09/2012 SAA 9:00 JPILI ROYAL NJOMBE HOTEL-UBUNGO NYUMA YA STAND YA MKOA KUTAKUWA NA KIKAO CHA PILI CHA MBULU YOUTH GROUP UKIWA NI MDAU TOKA MKOA WA MANYARA, ARUSHA PANDE ZA MBULU, KARATU, KATESH, BABATI NA MAJIRANI ZETU MNAOMBWA KUHUDHURIA BILA KUKOSA NA PIA WALIO MIKOA JIRANI NA KWA YEYOTE ANAYEGUSWA TUNAWAKARIBISHA SANA KUJADILI MAMBO MBALIMBALI IKIWEMO ELIMU,UCHUMI NA KIJAMII
AGENDA ZA KIKAO NI
1. KUFAHAMIANA
2. KUSAIDIANA KULINGANA NA FANI TULIZONAZO
3. KUIMARISHA UMOJA WETU
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA HIZI 0719870097/0718982010
PIA UPATAPO TAARIFA HIZI MJULISHE NA MWINGINE YEYOTE UNAYEMFAHAMU UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI DHAIFU UNGANA NASI KWA MAENDELEO YA JAMII YETU MUNGU AWABARIKI
IMETOLEWA NA
ADAM MAYO
MBULU YOUTH GROUP

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda