Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, September 26, 2012

Mshashi, Dr. Namaan, Sumaye Miongoni mwa Wagombea Waliopitishwa CCM

 Na Mwandishi Maalum
Hivi karibuni Chama cha Mapinduzi kimetoa orodha ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika ngazi za wilaya na mikoa. Katika orodha hiyo miongoni mwa majina "yaliyogonga" masikioni mwa wadau wengi katika mkoa wa Manyara hasa katika wilaya za Mbulu, Babati na Hanang ni aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania mheshimiwa Frederick Tluway Sumaye anayegombea nafasi ya mjumbe wa NEC wilaya ya Hanang sambamba na Dr. Mary Nagu, aliyekuwa "administrator" wa Haydom Lutheran Hospital ndugu Samuel Mshashi anayegombea mjumbe wa NEC wilaya ya Babati mjini na kwa wilaya ya Mbulu mjumbe wa NEC wanagombea Flatei Gregory Massay, Dr. Naftal Namaan na Gesso Bajuta, Ole Sendeka (Simanjiro) na wilaya ya Kiteto ni Abubakari M. SAIDI miongoni mwa wagombea
Orodha kamili ya wagombea hao katika mkoa wa manyara ni kama ifuatavyo  na umri wao katika mabano

WAGOMBEA WA NAFASI YA MWENYEKITI WA MKOA
Ndugu,Godwin Nagol KAPURWA (59)
Ndugu,Issa Omari KATUGA (44) – Elimu ya Msingi
Ndugu,Lucas Kismir OLE MUKUS (52)

WAGOMBEA WA NAFASI YA KATIBU WA SIASA NA UENEZI

Ndugu,Fratey G. MASSAY (38)
Ndugu,Ernest M. Fiita SULLE (42)
Ndugu,Michael Ngayda TSAXARA (63)

WAGOMBEA WA NAFASI YA KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA
Ndugu,Charles Gidamon GAPCHOJIGA (44)
Ndugu,Gabriel Lusian BUKHAY (53)
Ndugu,Lucas Chimba ZAKARIA (33)
Ndugu,Janes J. DARABE (34)

WAGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI WA WILAYA

WILAYA YA BABATI MJINI
Ndugu,Faustine Lohay BURA (55)
Ndugu,Nada Saidi MAARY (46)
Ndugu,Ally Said MSUYA (55)

WILAYA YA BABATI VIJIJINI
Ndugu,Laurent Laswein FISOO (53)
Ndugu,Baltazar Akonaay PETRO (44)
Ndugu,Alhaj Abdallah Mdoe SOGORA (63)

WILAYA YA MBULU
Ndugu,Zakaria Paulo ISSAY (52)

WILAYA YA SIMANJIRO
Ndugu,Lengai Makoo LAIZER (44)
Ndugu,Joel Sabore LESIRIA (46)
Ndugu,Brown Mathew OLE SUYA (69)

WILAYA YA KITETO
Ndugu,Mwendadi R. KINYUA (57)
Ndugu,Paulo M.A. MAGIMBI (46)
Ndugu,Abubakari M. SAIDI (64)

WILAYA YA HANANG’
Ndugu,Michael H. BAYYO (45)
Ndugu,Hassan G. HILBAGIROY (60)
Ndugu,Goma Madeli GWALTU (53)

WAGOMBEA WA NAFASI YA NEC WILAYA


WILAYA YA BABATI MJINI
Ndugu,Janes J. DARABE (34)
Ndugu,Wilson Mtatu IHUCHA (57)
Ndugu,Samwel Mshashi S.TLUWAY (42)
Ndugu,Ally Khera SUMAYE (60)

WILAYA YA BABATI VIJIJINI
Ndugu,Willy John BAYO (40)
Ndugu,Amani Nizer HIRJI (45)
Ndugu,Peter Mohamed NAALI (62)

WILAYA YA HANANG’
Ndugu,Laurence M. BURA (56)
Ndugu,Dr. Mary NAGU (60)
Ndugu,Frederick T. SUMAYE (62)

WILAYA YA KITETO
Ndugu,Hassan L. KISIOKI (33)
Ndugu,Meshak I. OLE LOLTIKISE (43)
Ndugu,Emanuel J. PAPIAN (46)
Ndugu,Kissah J. MWAMASO (28)

WILAYA YA MBULU
Ndugu,Flatey G. MASSAY (38)
Ndugu,Naftal Bartholomew NAAMAN (65)
Ndugu,Gesso Heghon BAJUTA (48)

WILAYA YA SIMANJIRO
Ndugu,Lenana Soipey LENGANASA (45)
Ndugu,Justine Mirisho NYARI (46)
Ndugu,Awadhi Omary YUSUFU (48)
Ndugu,Christopher Olonyokie OLE SENDEKA (48)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda