Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, September 5, 2012

Kila Kitu Tayari kwa Ajili ya Haydom Cultural Festivals 2012

Nikijadiliana na "Nyau" ambaye ndiye mlisha washiriki wote katika Tamasha. Ili kukuza uchumi wa Haydom, huduma mbalimbali zitatolewa na wadau wa Haydom

Nikiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya 4CCP Selina Sanka, katika eneo la Tamasha
Maandalizi ya Mabanda yakiendeleaMjasiriamali Isack akishusha vinywaji, ndiye mnyweshaji mkuu


Baada ya shughuli ya siku nzima
King Mswati "Elifadili"Mzee Gari akiburudika na kitu cha Pepsi

Nkitoa maelekezo kwa kinamama wajasriamali wa kikundi cha KANKANALA

Febuu yupo bizeee usipime, hakuna kuremba


Ukumbi 

Dora akiwa busy kupamba ukumbi kiutamaduni zaidi


Ensol Energy wakiwa wanaweka Solar Heater Team ya ukwee

Herman aka Dufa na Dr Nuwas eneo la Tukio

Nelly na pozi la kichagga

Need I say More?

Elifadili kama Febuu anavomwitaga

Sielewi kwa nini Febuu na Nelly waling'ang'ania kupiga picha mbele ya dude hili, nadhani ni mara yao ya kwanza kuliona.....kutoka Karatu na Moshi kote wanakuja Haydom kufaudu

Haya ni baadhi ya matukio yanayojiri huku pande za Haydom kabla ya siku ya Kesho. We are proud to be part of the History, TO THE PRAISE OF HIS GLORY

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda