Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, August 6, 2012

Matukio katika Picha: Diwani Isaack Bayo katika maonesho ya mbio za mwenge

Diwani wa kata ya Gehandu Wilayani Mbulu,Mkoani Manyara, Bw.Isaack Bayo akiangalia bidhaa zilizotengenezwa kiasiri kama mikoba,vikapu, mikufu n.k,mali ya Bi.Kabita Minja wa Mbulu Mjini,mwenye tisheti nyekundu ni Bw.James Minja (Mtoto ya huyo mama) kwe moja ya mabanda ya maonyesho yaliyoandalia kwenye matembezi ya mwenge wa uhuru hivi karibuni,mkoba mmoja aliuzwa kwa sh.35,000/=.

Diwani wa kata ya Gehandu Wilayani Mbulu, Mkoani Manyara, Bw.Isaack Bayo akijaribu kufafanisha muonekano wa shati kwenye mwili wake kama alivyokutwa na mwandishi wetu ,(Picha na Mary Margwe)bidhaa zilizotengenezwa kiasiri,kama  mikoba,vikapu, mikufu n.k, mali ya Bi.Kabita Minja wa Mbulu Mjini,mwenye tisheti nyekundu ni Bw.James Minja (Mtoto wa mama Minja)  kwenye moja ya mabanda ya maonyesho yaliyoandalia kwenye matembezi ya mbio za mwenge wa uhuru hivi karibuni

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda