Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, August 27, 2012

HOMA YA HAYDOM CULTURAL FESTIVALS YAZIDI KUPANDA

TAMASHA TAMASHA TAMASHA

KITUO CHA UTAMADUNI HAYDOM KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI NA WAFANYABIASHARA WOTE KUWA KUTAKUWA NA TAMASHA LA UTAMADUNI LITAKALOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA KITUO CHA UTAMADUNI KILICHOPO MLIMA HAYDOM KUANZIA TARAHE 6 MPAKA 8 SEPTEMBER 2012.

KATIKA TAMASHA HILO KUTAKUWA NA MAONESHO NA MASHINDANO YA NGOMA ZA ASILI KUTOKA VIKUNDI MBALIMBALI KUTOKA MAKABILA YA WANYIRAMBA, WAIRAQW, WAHADZABE NA WADATOOGA. PIA KUTAKUWA NA MASHINDANO YA RIADHA KWA WAZEE WALIO NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 45 NA KWA VIJANA WALIO NA UMRI USIOZIDI MIAKA 45 AMBAPO WASHINDI WATAPEWA ZAWADI MBALIMBALI

TAMASHA HILO LITAAMBATANA NA MAONESHO YA SHUGHULI MBALIMBALI ZINAZOFANYWA NA MAKAMPUNI NA TAASISI MBALIMBALI.

AIDHA KATIKA TAMASHA HILO, TAASISI YA DAMU SALAMA ITAENDESHA ZOEZI LA KUCHANGIA DAMU KWA HIARI KWA AJILI YA BENKI YA DAMU KWA AJILI YA HAYDOM LUTHERAN HOSPITAL.

WANANCHI WOTE WANAOMBWA KUJITOKEZA KUHUDHURIA TAMASHA HILI LA KWANZA KABISA KUFANYIKA KATIKA MKOA WA MANYARA. VIKUNDI VYA NGOMA NA WANANCHI WATAKAOPENDA KUSHIRIKI KATIKA MASHINDANO YA RIADHA WANAOMBWA KUJIANDIKISHA KWENYE OFISI ZA 4CCP KABLA YA TAREHE 3 SEPTEMBA 2012.

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU
0784238225/0683628915

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda