Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Sunday, July 15, 2012

Mgogoro wa Syria: Sasa ni vita ya wenyewe kwa wenyewe

MGOGORO WA SYRIA: Kimsingi huu mgogoro ulianza 15 March 2011 wakati wa mapinduzi ya waarabu ambayo yalizihusisha Tunisia, Egypt,Libya, na Yemen; machafuko pia yakaenda hadi Bahrain na Syria; upinzani mkubwa ukahamia Algeria, Iraq, Jordan,Kuwait, na Morocco; pia kulikua na machafuko madogo huko Lebanon

**Syria ugomvi wao nao ulikua kwamba chama kinachotawala sasahivi cha Ba’ath Party rule ambacho ...
kimetawala zaidi ya miaka 50 kiachie madaraka pamoja na raisi wake President Bashar al-Assad.

**Wanajeshi wa syria wamekua wakiwapiga waandamanaji na raia wema wote kwa silaha za moto na mwanajeshi wa Syria ambaye hata fanya hvyo alikua anapigwa risasi pale pale. Ikabidi wale wanajeshi ambao wanampinga al Assad waunde umoja wao pamoja na wanannchi, ila bwana assad akawa anawachapa kwasababu hawa watu walikosa umoja na yeye alikua anawaconsider kama "armed terrorist groups" .

**Kofi Annan alipelekwa kama msuluishi au mpatanishi naye anaonesha kushindwa. U.N. Secretary-General Ban Ki-moon alienda na yeye lakini hajafanikiwa, jana watu wa International Committee of the Red Cross kupitia kwa mashirika ya habari ulimwenguni yalisema kua ule ugomvi sasa ni "non-international armed conflict" na kwahiyo basi sheria ya makosa yakivita ICRC pamoja na vifungu vya international humanitarian law chini ya Geneva Conventions sasa vinaweza kutumika kupata suluhu ya hu mgogoro. hadi sasa kuna mapigano makali yanaendelea katika mj wa Damascus.

**Juu ni bango kubwa lililoandikwa maandishi yakuonesha kua watu wamechoka na utawala wa al Assad lililowekwa katika mji wa Damascus.

Nikiripoti kutoka kitandani kwangu ninakofuatilia mgogoo wa Syria kupitia Al Gazeera na BBC mimi n @tinorito masangia mwandishi wakujitegemea

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda