Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Tuesday, July 24, 2012

Kama ulikuwa haujui ndo ujue sasa, TV za nje zimenunua "Rights" za kurusha Safari ya Nyumbu kutoka Masai Mara hadi Serengeti

Na Sam Sasali via Facebook
Picha kwa hisani ya  http://keralaarticles.blogspot.com/2008/01/serengeti-national-park-migration.html
Kwa Taarifa Yako....Kuanzia tarehe 22/07/2012 wanyama kutoka MASAI MARA wataanza kusafiri na kuelekea SERENGETI,wamekaa masai mara kwa miezi 3 na sasa wataenda serengeti na watakaa huko kwa miezi 8

Tv zote za kimataifa macho yao yapo huko ili kuweza kuonyesha moja kwa moja wananchi wao jinsi wanyama hao wanavyosafiri
na jana tu baadhi ya hizo TV ziliomba jambo hili liingizwe ktk moja ya maajabu ya dunia

je wewe kama mtanzania,mbuga ipo tanzania unayaelewa haya? tv zetu zinaelewa haya? viongozi wetu wanaelewa haya?

chakushangaza ni tv za asia na kenya ndizo zinaonyesha maajabu haya,wapi watanzania? baadae tusianze kulalama wenzetu wakiwa wanapeleka watalii kuangalia safari za wanyama hao kutoka serengeti kwenda masai mara na kutoka masai mara kwenda serengeti

Tanzania oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda