Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Thursday, July 5, 2012

HABARI ZILIZOKATIKA ANGA LA TAIFA LETU LEO IJUMAA 6/7/2012.

 Bendera ya Tanzania                                                                                            Hifadhi ya Kilimanjaro (KINAPA)

Wasalaam wapenzi wasomaji wa blog yetu ya OHAYODA..............
Tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama na kutupa kila sababu ya kufurahia nafasi ya kuitwa wanadamu, japo zipo changamoto nyingi lakini usisahau, "Mungu anabaki kuwa Mungu".


Sisi kama wadau wa OHAYODA tunaamini kuwa, kutokana na msongamano wa majukumu ya hapana pale, inakuwia ngumu kupata taarifa zilizopo katika anga la taifa letu la Tanzania, kwa kuyazingatia hayo tunakupa fursa kila asubuhi kupata wala taarifa ambazo zimejiri japo kwa ufupi wake.


Taarifa mototo za leo ni kama ifuatavyo....................

KITAIFA.
  • HALI YA SEKTA YA AFYA NCHINI YAENDELEA KUWA KUREJESHA MATUMAINI YA WATANZANIA KWA MADAKTARI KUENDELEA KUREJEA KAZINI.
  • BUNGE LA BAJETI LINAENDELEA KWA WIZARA ZA MIUNDOMBINU KUWASILISHA MAKADIRIO YA BAJETI YAKE.
  • NA MH. MAGUFULI ASEMA, MRADI WA BARABARA ZA JUU UNAANZA RASMI MWAKA HUU JAPO KWA HATUA ZA AWALI SANA.
  • DR. ULIMBOKA ANAPUMULIA MASHINE- TUENDELEE KUMUOMBEA.
  • WAENDESHA BODABODA SINGIDA NA NCHI NZIMA WAASWA KUTO KUNYWA VIROBA NA KUPAKIA ABIRIA.
  • TPDC KUANZA MRADI WA KUSAMBAZA GESI ASILIA YA SONGOSONGO KWA MKOA WA DAR ES SALAAM TOKA MWENGE HADI MIKOCHENI.
KIMATAIFA

KIPIMO KIPYA CHA UKIMWI CHA KUTUMIA MATE KITAANZA KUTUMIKA HUKO MAREKANI NA DUNIA NZIMA  OKTOBA MWAKA HUU, NA KITAUZWA KWA DOLA ZA KIMAREKANI 17 SAWA NA SHILINGI 27,200/= ZA KITANZANIA.

                            TUNAKUTAKIA SIKU NJEMA YENYE BARAKA NA MAFANIKIO.


KUMBUKA: DHAMANA YA MAISHA YAKO IPO MIKONONI MWAKO PEKE YAKO.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda