Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Thursday, July 12, 2012

Friends on Friday Moja Juu picha

Na Sam Sasali
Fiends On Friday Event ya Dar Ikiwa Inatimiza Mwaka mmoja tangu ilipoanza Siku Ya Ijumaa ya tarehe 6 Julai ilifanya event ya Aina yake yenye jina la "FoF Moja Juu".

Event hiyo iliyopambwa na matukio ya kupendezesha ilifanyika katika eneo la Makumbusho ilianza saa 1 Jioni na kumalizika saa 6 Usiku.

Katika event hiyo ya Friends On Friday Iliyokua na Msemo wa 'FoF Moja Juu" ilipambwa na burudani ya Muziki Kutoka Kwa Live Band, Steven Wambura, Miriam Lukindo, Amani Kapama, Sarah Shila na wengine wengi, Katika Comedy alikuwepo Mc Pilipili pamoja na Mlugaluga ambao walifanya kazi Standard siku hiyo, Upande wa FoF Fashion Show Walikuwa wamejipanga, Wafungua Champagne kama 30 walionesha ubora wao wa kufungua vinywaji hivyo.

Mbali na burudani pia Kamati Ya FoF ilitoa Shukrani ya Zawadi kwa baadhi ya wadau wa FoF Ambao wamekuwa waki support FoF kwa namna Moja ama Nyingine.

Big Up kaw Kamati kwa Kazi standard siku hiyo

zaidi katika Picha.
Ze Blogger akiwa na Blogger Jackie
Mc Wa Event Papaa Ze Blogger akienda sawa
Ze Blogger akiwa na Regraaaant Wambura
"Shemeji Yetu" akiwa ndani ya Eneo
Miriam Lukindo wa Mauki akienda Sawa
Wadau Wa FoF
Kama Kawa
Maswahiba Wa Ukweli Prosper Mwakitalima na Papaa Ze Blogger...Wanakuja na Idea Nyingine chini ya Kiango Media
Wadau wakienda Sawa Ndani Ya FoF
Shemeji Vero Full Smile
Mzee Makasi na Addo November FoF Moja Juu, Kulia ni James Branch Manager wa Exim
Dr Lyatuu na Mke Wake na Wadau wengine ndani ya FoF
Ma Mc wa Event Kushoto Mc Pilipili na Kulia ni Papaa Ze Blogger
Sehemu Ya Umati ndani ya FoF
Kama Kawa Watu Peopleeeeeeee
Watu wakiwa Wametoka Mbele kwa ajili ya Kucheza Music
Hapa Ilikuwa Launching ya Filamu ya Power Of Faith iliyozinduliwa rasmi siku hiyo..It was Powerful
Kwa mbali Kushoto Emmanuel Kwayu akiwa na mdau wanabadilishana mawazo
FoF Moja Juuu
Mzee Wa Masauti Mlugaluga Ndani Ya FoF
FoF Fashion Show, Nathan Yamungu akiwa ndani ya Traditional Wear
Ma Judge wa Fashion Show, Kushoto ni Jacqueline Mndeme, Seth Katende na Angela Kileo
Washindi wa Fashion show, Mtupio Wa Njano, Mc Pilipili na Kezia
FoF Moja Juu Watupiaji wa Pink Ya Zain ndani Ya Fashion Show
Washiriki Wa FoF Fashion Show Wakiwa Jukwaani
Wataalam wa Shampeni Wakiwa Sawa Zilikuwa kama 30 hivi
FoF Kitu Keki
Mr and Mrs Delphnius Rwegasira wakila kama Washindi wa Pili wa Couples za FoF
FoF Moja Juu, Amani na Chris Mauki


FoF Moja Juu, Papaa Ze Blogger na Anne From FoF Zanzibar
Angela From Arusha kushoto, Geof na Kulia ni Anne from Zanzibar
FoF Fashion Show Ikiendelea
Kulia ni Branch Manager wa Exim, Main Branch Mr James, Mwenye Suti ni Rais Wa Shirikisho la wanamuziki Mr. Addo, Katikati ni Mzee Makasi na wadau wengine ndani ya FoF
Chief Judge Seth Katende akiwa anakwenda Chukua Zawadi yake
Jackie FoF Moja Juu
Seth Katende FoF Moja Juu
Andrew Tarimo ndani ya FoF
Wadau Nani ya FoF

Watu Full Smile Ndani Ya FoF.

FoF Moja Juuu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda