Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, July 23, 2012

Duniani Kuna Mambo: Abakwa na wake zake 6 hadi kufa

Umaarufu wake na mafanikio yake kiuchumi vilimpelekea kuoa wake sita. Alipenda sana ngono na kutembea na wasichana wazuri katika kitongoji cha Ugbugbu Owukpa, Ogbadibo katika jimbo la Benue State nchini Nigeria.


Huyu ni Uroka Onoja ambaye alikutwa akiwa amekufa baada ya kudaiwa kubakwa na wake zake sita wenye wivu jumanne iliyopita

Kasheshe lilianza siku ya Jumanne majira ya saa tisa alfajiri baada ya Uroko kurejea kutoka matembezini na kwenda moja kwa moja kwenye chumba cha mke wake mdogo aitwaye Odachi. Kwa mujibu wa Odachi wake wingine watano walikuwa na mazungumzo ya pamoja kabla Uroko hajarejea na baada ya uroko kuingia kwa Odachi walivamia chumba hicho kwa visu na fimbo wakimtaka Uroko afanye nao mapenzi wote kwa pamoja. 

Uroko ambaye awali alijaribu kukataa agizo hilo la "mamamsapu" wake hao alizidiwa na wanawake hao na kumwamuru "matembezi" yaanzie kwa mke mdogo na kuendelea hadi mkubwa.

Inasemekana Uroko aliishiwa pumzi baada ya kumalizana na mke wa tatu wakati mke wa pili akiwa anatandika kitanda kuendeleza libeneke.
 
"Ghafla mume wangu aliacha kupumua, na wote wakakimbia huku wakicheka, na walipoona hazinduki walikimbilia porini" alisema Odachi

Habari zinadai kuwa mpaka leo wamekamatwa wanawake wawili kuhusiana na tukio hilo. Kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni


Chanzo: Bulawayo24

1 comment:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda