Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Sunday, July 15, 2012

Cocktail Thanks Giving Ya Uncle Jimmy Temu. Ijumaa Ya Tarehe 20 July, 2012

Ijumaa ya tarehe 20 Julai 2012 Swahiba wangu James Temu almaarufu kama Uncle Jimmy ambaye ni mtangazaji wa Praise Power Radio na pia moja wa wa waanzilishi wa Friends on Friday atakuwa akifanya Thanksgiving Party kwa ajili ya blog yake kutimiz mwaka moja...........


B
logger huyo anayefanya vizuri katika Tasnia ya Habari Za Kikristo, Uncle James Temu ambaye pia ni Mtangazaji wa Kipindi Cha Rise and Shine na Sunday Special Kutoka Praise Power FM na Mmiliki na mwendeshaji wa Blog ya www.unclejimmytemu.blogspot.com ameandaa siku maalum ya Kumshukuru Mungu kwa Blog yake Kutimiza Mwaka mmoja Mpaka Sasa.


Uncle Jimmy ameeleza kuwa blog hiyo ambayo mwezi huu wa July imetimiza Mwaka imepiga hatua kubwa sana mpaka sasa katika upashaji wa habari ndani na nje ya Tanzania.
Blog hiyo ambayo ni maalum kwa ajili ya kupasha habari za Kikristo na injili imekuwa ikisomwa na watu mbali mbali walio ndani na nje ya Tanzania kwa kipindi cha Mwaka mzima sasa na kutoa michango yao ya mawazo kwa maendeleo ya Blog hiyo.


Mwanahabari huyo James Temu au Uncle Jimmy amesema siku ya tarehe 20 July, 2012 kuanzia saa 1 usiku mpaka saa 3 usiku ameandaa Event Ya Kumshukuru Mungu itakayofanyika katika hotel ya Tamal maeneo ya Mwenge. Katika event hiyo Kutakuwa na Wanamuziki Wa Injili wanaovuma hapa nchini wakiongozwa na Dar-es-Salaam Band, Kutakuwa na Vinywaji pamoja na Chakula kitakachopatikana katika event.
Uncle Jimmy amesema Event hiyo haitakuwa na Kiingilio sababu ni siku maalum ya Kumshukuru Mungu. Pia alitoa mwito wa Kuwakaribisha Watu wote Bureeeeeeeeeeeee kabisa Bureeeeeeeeee kuweza Kuhudhuria Cocktail Thanks Giving Ya Blog hiyo inayotimiza Mwaka.
Kumbuka ni tarehe 20 July, 2012, Saa 1-3 Usiku, Kiingilio ni Bure, Kutakuwa na Live Bands, Wanamuziki wa Injili, Wacheza Filamu Mbalimbali, Watangazaji wa Radio, Wasikilizaji wa Radio na Wewe Msomaji pia Unakaribishwa kwa ajili ya Siku ya tarehe 20 July, 2012.


D
on’t Plan To Miss It.!


Kwa Hisani Kubwa ya www.unclejimmytemu.blogspot.com

Picha 9 Ambazo Uncle Jimmy amepiga na watu Mashuhuri Hivi Karibuni.

Uncle Jimmy akiwa na Rebecca Malope alipokuja Tanzania Kwenye Tamasha la Pasaka.
Uncle Jimmy akiwa na Anord Kayanda Mtangazaji wa Kipindi Cha Jahazi Clouds FM walipokutana kwenye FoF mwezi wa June, 2012.
Uncle Jimmy akiwa na Public Speaker, Books Writer an Preacher of The Gospel Rose Mushi kwenye White Party Friends On Friday
Uncle Jimmy akiwa na Benjamin Dube kutoka South Africa alipokuja kwa ajili ya R.I.O.T
Uncle Jimmy akiwa na Flora Mbasha ndani Friends On Friday
Uncle Jimmy akiwa na Papaa Ze Blogger ndani ya White Party Friends On Friday.
Uncle Jimmy akiwa na Marehemu Steven Kanumba
Uncle Jimmy akiwa na Joilene Mtoto wa Askofu Mkuu wa TAG ndani ya FoF Arusha.
Uncle Jimmy akiwa na President wa East Africa Bureu Speakers Paul Mashauri, na Director Of MATABE (Make Tanzania Better) Dr. Edmund Lyatuu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda