Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, July 2, 2012

Baraza la Madiwani Mbulu katika picha

Diwani wa Kata ya Gehandu Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Isack Bayo akichangia hoja kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya hiyojuzi mjini Mbulu.

Mbunge wa Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara,Bw.Mustapha Akunaay akizungumza kwenye Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya hiyo  (kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo
Bw. Simon Mayeye na (kulia) ni Mbunge wa Viti maalum wa mkoa huo na Mkuu wa wilaya ya Kiteto Bi. Martha Umbulla


Picha zote na Mary Margwe, Ohayoda-Mbulu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda