Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, June 20, 2012

Tunadaiwa TSH 14,000,000,000,000/= yaani Trilioni 14

Hili ndilo deni la Tanzania, linasomeka trilioni 14 nukta 4 na kila m-Tanzania anadaiwa TZS 335,000/=.
Deni hili limekuwa likiendelea mwaka hadi mwaka, huku mzigo wa kulilipa tukibebeshwa sisi wananchi. Je, mikopo yote ya ndani na nje inatufaidisha?
je, rushwa na matumizi mabaya kama viongozi kulipana posho kubwa kubwa zinachangia kulikuza? Nini kifanyike kulipunguza??, Je madeni haya yamekusaidia kuweka maisha yako ktk neema??
;;IMETOLEWA NA TAJOA(TZ JOURNALIST ALLIANCE);;

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda