Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Friday, June 15, 2012

TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO

15-06-2012

KAMATI YA MPANGO MJI WA HAYDOM INAWATANGAZIA WATU WOTE WALIOMILIKISHWA VIWANJA KATIKA MJI WA HAYDOM WALETE MALIPO YA GHARAMA YA KUPATIWA HATI MILIKI YA VIWANJA VYAO YA MUDA MREFU KWA AFISA MTENDAJI WA KATA YA HAYDOM TSH 195,000/= KWA KILA KIWANJA KABLA YA MWISHO WA MWEZI JUNI 2012.
BAADA YA HAPO, KUANZIA TAREHE 1 JULAI 2012 GHARAMA ZITAPANDA NA KUWA TSH 400,000/= KWA KILA KIWANJA
PIA KAMATI IMETOA NAFASI YA MWISHO YA UTETEZI KWA WALE AMBAO HAWAJAENDELEZA VIWANJA VYAO IFIKAPO TAREHE 30 JUNI 2012 NA BAADA YA HAPO WATAFUTIWA UMILIKI NA VIWANJA HIVYO KUPEWA WATU WENGINE

KATIKA UTUMISHI WA UMMA
DAMIAN G. ISAAY
AFISA MTENDAJI KATA
KATA YA HAYDOM

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda