Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Thursday, June 14, 2012

TANGAZO: MSAADA WA KISHERIA

KITUO CHA MSAADA WA SHERIA (WLAC) KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA HAYDOM KWAMBA KUTAKUWA NA HUDUMA ZA MSAADA WA KISHERIA BURE TAREHE 18-22/6/2012 KWENYE OFISI ILIYOPO IM HOTEL HAYDOM-MBULU KUANZIA SAA 2:00 ASUBUHI MPAKA SAA 11:00 JIONI.
WOTE WENYE MATATIZO YA KISHERIA KUHUSU ARDHI, MIRATHI, NDOA, MATUNZO YA WATOTO, AJIRA, BIMA N.K


WOOOOTE MNAKARIBISHWA
KWA MWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NO. 0784 871116

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda