Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Saturday, June 2, 2012

Miss Manyara leo ndani ya Ukumbi wa CCM Babati

Leo usiku ndani ya Ukumbi wa CCM Babati hapatatosha katika kindumbwendumbwe cha kumsaka mlimbwede wa Mkoa wa Manyara ambapo washindi watawakilisha mkoa katika mashindano ya kanda na Taifa (Miss Tanzania) baadaye mwaka huu
Miss Mbulu 2012, Lucy Stephano na 1st Runner up Linah na 2nd runner up Modesta (kulia)
Katika mtanange huo, wilaya ya Mbulu inawakilishwa na Miss Mbulu Lucy Spephano wa Haydom na Miss Mbulu no. 2 Paskalina (Linah) Emanuel naye wa Haydom ambapo litajumuisha washiriki kutoka wilaya zote tano za mkoa wa Manyara ambazo ni Mbulu, Babati, hanang, Kiteto na Simanjiro
..
Ohayoda itakuletea habari ya yatakayojiri na picha ya tukio hilo...hapa hapa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda