Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, June 27, 2012

Mdau Papaa Kumuwakilisha Christina Shusho Nchini Uingereza


Mdau wangu wa karibu sana Samuel Sasali aka Papaa Ze blogger ambaye anaandika blog ya www.samsasali.blogspot.com ambaye kila jumanne makala yake ya Papaa on Tuesday inaruka hewani kupitia blog yake na Ohayoda, anaweza kumwakilisha Christina Shusho kwenye tuzo nchini Uingereza


Zikiwa zimebaki Siku 3 tu yaani tarehe 30 June, 2012 Ili kufikia tamati ya upigaji kura kwa ajili ya Kumuwezesha Mwanamuziki Pekee wa Kike Tanzania Christina Shusho kushinda katika Category mbili alizochaguliwa kuingia. Mwanamuziki huyo amefunguka katika Radio Ya Watu Clouds FM, na Kueleza kuwa Yamkini akatuma Mwakilishi siku ya Kugawiwa tuzo hizo siku ya tarehe 7 Mwezi 7, 2012 nchini Uingereza.


Christina Shusho Mwanamuziki Pekee wa Tanzania aliyechaguliwa kuingia katika Category 2. Zikiwa kama ifuatavyo.


1.  Mwanamuziki Bora Kutoka Africa Mashariki
2. Mwanamuziki Bora Wa Kike Barani Africa.
              Shusho Kushoto, Papaa Ze Blogger Katikati na Kulia ni Mtangazaji Pastor Harris Kapiga


akihojiwa na Mtangangazaji mahiri Pastor Harris Kapiga katika Kipindi cha Gospel Track  hivi karibuni kupitia Radio ya Clouds FM yenye kusikika ulimwengu Mzima Mwanamuziki huyo amefunguka na kusema, kutokana na Majukumu yanayomkabiri kwa sasa huenda akamtuma Mwakilishi ambaye ni Papaa Ze Blogger kwenda Kumuwakilisha katika Tuzo hizo katika nchi ya Uingereza.

Watanzania tunayo sababu ya Kumpigia Kura Mwanamuzi huyu wa Injili ili kuweza Kutwaa tuzo hizo 2.

Ili kuweza Kumpigia Kura Shusho Sasa hivi Bonyeza ...http://www.ballotbin.com/voterReg.php?b=29492

Kisha utaingiza email address kisha fuata maelekezo kupiga kura.

Viva Shusho, Viva Tanzania.

2 comments:

  1. Lakini biblia inasema hivi. ukristo wetu usiwe mashindano.Hamuoni kama mnakwenda kinyume na Biblia?

    ReplyDelete
  2. Lakini biblia inasema hivi. ukristo wetu usiwe mashindano.Hamuoni kama mnakwenda kinyume na Biblia?

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda