Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Friday, June 8, 2012

Mdau Clement Daniel Paresso alia na viongozi wa CHADEMA

Mdau Clement Daniel Paresso (juu pichani) kupitia mtandao wa kijamii wa facebook katika Mdahalo wa Karatu Youth News Club amewakumbusha wabunge wa CHADEMA na kambi nzima ya upinzani  kuwa wananchi wanawategemea hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye Bajeti ya serikali.
"Freeman Aikaeli Mbowe, Tundu Lissu, John Mnyika, Zitto Z Kabwe, Halima Mdee, Ezekia Wenje, Peter Msigwa, Silinde Ernest David, Josh Nassari, Vincent Nyerere na kambi ya upinzania kwa ujumla.....Watanzania wanategemea uwepo wenu bungeni katika kipindi cha bajeti ya 2012/2013 kuwasaidia ili bajeti iguse maisha yao ya kila siku,utetezi wenu wa kila siku katika maisha ya watanzania unatarajiwa kuwa maradufu zaidi ya mnavyojiandaa. Tunawategemea sana kuwa sauti ya ziada, jicho la ziada na mdomo wa ziada katika kutetea watanzania, tendeni mkiwa na hofu ya Mungu, watanzania wako nanyi pamoja!"
 
 

1 comment:

  1. Peoples !! Power !! Watanzania wapo nanyi pamoja !

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda