Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Tuesday, June 12, 2012

Matokeo ya kura ya maoni: Muungano unatija kwa Watanganyika?

Kutokana na chokochoko za Wazanzibari kutaka kujitenga, Je huu Muungano unamaslahi yoyote kwa Watanganyika?

Hilo ndilo lililokuwa swali letu tulilowauliza wasomaji wa ohayoda kutaka kujua maoni yao kutokana na hali ya "ghasia" zilizotokea Zanzibar zikilengwa hasa kwa Watanzania wa bara hususani wakristo.
Wakijibu swali hilo, asilimia 86 ya waliopiga kura walisema kuwa "ndoa" baina ya Tanganyika na Zanzibar haina maslahi yoyote kwao, huku asilimia 9 (9%) wakisema unamaslahi na asilimia 5 wakidai kuwa hawajui.
Ohayoda inapenda kuwashukuru wasomaji waliopiga kura na kuwasihi wasomaji wengine waendelee kutoa maoni yao.

ANALIZO: Haya ni maoni ya wasomaji wa ohayoda na si msimamo wa ohayoda

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda