Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Tuesday, June 5, 2012

Kutoka Maktaba: Dr Shein alivyotembelea Haydom 2010

Dr Shein akiongea na wananchi na wa Haydom, enzi zile akiwa makamu wa Rais

Huyu ni Philip Marmo aliyekuwa Mbunge wa Mbulu sasa ni Balozi wa Tanzania huko Uchina
Siku hiyo walijaa makachero na makomandoo...kwa nyuma namwona askofu Zebedayo Daudi
Burudani nazo zilichukua mkondo wake, nani kasema wamasai wanaruka juu zaidi ya wadatooga?
Watuuu Peopleee zilikuwa kibaoooo
Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa HLH Dr. Isaack Malleyeck naye hakukosekana
Itifaki ikazingatiwa

Huyu nadhani ni mkuu wa Mkoa wa Manyara, mambo ya Itifaki haya
Swahiba wangu Herman Malleyeck akaona isiwe tabu kusimama, akaamua kujikalisha amsikilize vizuri mheshimiwa
Marmo akiwa na Malleyeck na nyuma kabisa Baba Askofu Daudi, hao wengine sijui ni kina nani
Makachero walikuwa wanakagua kila kona hadi kunako huduma ileeeee
Iron Lady wa Haydom, Selina Sanka enzi hizo akiwa muuguzi mkuu wa HLH
Manjagu walijaa kila Kona hadi askari magereza hahahaaa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda