Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Friday, June 29, 2012

KURA YA MAONI: Sakata la Mgomo wa madaktari, nani abebe lawama?

Kila wiki ohayoda inakupa fursa wewe msomaji kutoa maoni yako kuhusu masuala mbalimbali yanayojiri katika jamii yetu na nchini kwa ujumla. Wiki hii tunapenda kupata maoni yako kuhusu Sakata linaloendelea la Mgomo wa Madaktari, je nani alaumiwe?
Tuma maoni yako kwa kuchagua jibu sahihi kwako kisho bonyeza VOTE juu kulia mwa libeneke hili na utaona kura yako ikiongezeka bila uchakachuzi. Matokeo yatawajia baada ya siku 5.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda