Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, June 20, 2012

Kura ya Maoni: John Mnyika ni jasiri au hana nidhamu?

‎"Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa Rais Kikwete, kwa uzembe wa Bunge, na kwa sababu ya upuuzi wa CCM na wabunge wake."  J.Mnyika (CHADEMA)
Hiyo ni kauli ya Mbunge wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA mheshimiwa Mnyika John John aliyoitoa bungeni tarehe 19 June wakati akichangia kuhusu bajeti ya serikali iliyowasilishwa bungeni hapo na waziri wa fedha mheshimiwa Mgimwa.
Ohayoda inapenda kujua maoni ya wasomaji wake kuhusu kauli hiyo iliyopelekewa Mbunge huyo kijana ambaye sifa yake kuu ni kutokukurupuka wakati anaongea kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge hilo baada ya kukataa kufuta kauli yake baada ya kutakiwa kufanya hivyo na naibu spika wa bunge ndugu Ndugai.
Piga kura yako kwa kuchagua jibu lako sahii kisha bonyeza VOTE juu kabisa upande wa kulia mwa libeneke hili na utaona kura yako ikiongezeka na matokeo yatatolewa baada ya siku 7 bila kuchakachuliwa hapa hapa Ohayoda

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda