Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, June 27, 2012

Je wajua kuhusu Web Search Engines?

Na Alexander Stephen-HLH
Fahamu kuhusu Web Search Engines.
Search engines ziliundwa kwa ajili ya kutafuta habari kwenye mtandao wa dunia nzima, orodha ya matokeo ya utafutaji huwasilishwa kwa ujumla na hujulikana  (search engine results pages (SERPs)). Matokeo hayo yanaweza kuwa kurasa za tovuti, picha, habari na aina zingine za faili.  Utajiuliza search engines ni kama zipi? Ni rahisi tu hizi ni kama Google, Yahoo, Amazon, Ask na zinginezo.


Search engines zinafanya vipi kazi?
Hizi hufanya kazi kwa kuhifadhi taarifa mablimbali za kurasa za tovuti. Ambazo inapata kwa kutumia web crawler. Web crowler ni automatiki web browser inayo fanya kazi kwa kupitia link moja hadi nyingine kwenye mtandao, na kukopi taarifa kutokakatika kurasa hizo. Baadae search engine ina chambua taarifa hizo na kuziweka kwenye mpangilio ambao mtafutaji anaweza kupata kwa urahisi (indexing).
Mtumiaji akiingiza neno/maneno kwenye search ingine basis arch ingine itatafuta kurasa zote ambazo zina maneno yanayo fanana na kinacho tafutwa na kumrudishia majibu mtafutaji kwa kumpa link zote zenye maneno yanayo fanana na anaco kitafuta.

Hizi ni baadhi ya search ingine ambazo zinatumika kwa kiasi kikubwa duniani
Google.com
Mamma.com
Amazon.com
Yahoo.com
Ask.com
Bing.com
Astalavista.com
Na nyingine nyingi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda