Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, June 13, 2012

Je wajua? 20% ya mapato hutakiwa kurudi vjijini

Kwa mujibu wa sheria, 20% ya mapato ya Halmashauri yanayokusanywa na halmashauri za wilaya inatakiwa irudi moja kwa moja katika vijiji husika lakini hilo limekuwa ndoto na halijawahi kutekelezwa katika vijiji karibu vyote vya wilaya za Mbulu, iramba na Hanang
Ohayoda linapenda kujua maoni ya wasomaji kuhusu ufisadi huu wa halmashauri hizi, je nani awajibishwe? Viongozi wa Halmashauri, Madiwani, Viongozi wa Vijiji au serikali kuu?
Namna ya kushiriki, piga kura yako uande wa juu kabisa wa blog hii kulia na kisha piga kura yako na utaona kura yako ikiongezeka.
Matokeo yatatolewa baada ya siku 7 bila uchakachuaji hapa hapa ohayoda.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda