Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, June 27, 2012

IFAHAMU HAIBA YAKO ILI UWEZE KUISHI..........

Salaam Ndugu wasomaji wa OHAYODA,
Jiandaeni kwa makala maalumu ya:-
   "IFAHAMU HAIBA YAKO ILI UWEZE KUISHI NA WATU VIZURI".
Fahamu kuwa, Japo wanadamu wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ila tunatofautiana sana kitabia, kihisia, kimaumbile, kimtazamo nk; katika safu hii tutajifunza HAIBA mbalimbali, wewe utasoma na utaifahamu ya kwako ili uweze kujua namna ya kuishi na watu ili sote kwa pamoja tuweze kuufurahia uungu ndani ya kila mwanadamu.
Makala hii itakujia kila Jumatatu, Jumatano na Ijumaa.


Na Mtayarishaji wako Nelson Faustin


Jiandae kuelimika.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda