Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, June 6, 2012

Haydom Four Corners Cultural Programme: Matukio katika Picha

 Hapa ni Mongo wa Mono, ukifika tu huku wewe salimia tu "Mtana", mengine kuyaelewa ni muujiza


 Timu ya 4CCP ikiongozwa na Anna Kari, Eliminata, Murge na Elifadhili walitia timu hadi Mongo wa Mono kuongea na Wazee wa Kihadzabe
 Wadau wakitoa maoni yao kuhusu 4CCP
 Mwinjilisti Murge akifafanua jambo
 Mzee Yakobo naye alikwepo
 Kila mtu alikuwa makini kufuatilia kikao hicho
 Hali ya barabara ilikuwa tete lakini zege haikulala
 Hata kwa Bodaboda, safari ni safari
 Anna Kari akiwa katika usafiri wa bodaboda kutokana na ubovu wa barabara
 Hawa jamaa wakapiga mishikaki, hapa nadhani ni misigiri...uleyleaniii mbwaneweee
 Barabara ilikuwa hiviiiii.......lakini bado kazi ilisonga mbele

 Misigiri shughuli ya kuongea na wazee wa jamii za kibantu ikaendelea

 Mzee yakobo ikabidi aweke "sendoz" pembeni ..utaipenda siku hiyo
 Eliminata na Anna ikabidi wakubaliane na hali halisi, wakatijosa majini...kwani nini bwana!
Ilikuwa burudani, haya ndo matukio wakati wa mikutano na wazee (CIT) wa 4CCP wakati wa uanzishaji wa kituo cha pembe nne za utamaduni Haydom (4CCP). Haikuwa kazi rahisi lakini kwa pamoja wameweza kufanya mambo mengi mkubwa hata kufikia hapa kilipo sasa! Big up 4CCP team, CIT na jamii kwa ujumla

1 comment:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda