Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, June 20, 2012

Halmashauri lawamani kwa kuvinyonya vijiji


Halmashauri kutokurudisha 20% ya mapato vijijini, nani alaumiwe?

Hilo lilikuwa swali letu tulilowauliza wasomaji wa Ohayoda tukitaka kujua maoni yao juu ya kitendo cha halmashauri hasa za wilaya kukusanya mapato (ya ndani si ya TRA) vijijini pasipo kurudisha 20% ya mapato hayo katika vijiji mapato hayo yalipokusanywa na kuwaacha wananchi kuwa na mzigo mzito wa kuchangia shughuli za maendeleo huku wakiwadidimiza katika wimbi kubwa la umaskini.
75% ya wasomaji walizitupia lawama halmashauri kwa kuvunja kanuni na sheria zinazowataka kurudisha mapato hayo vijijini huku 18% wakiwanyooshea vidole viongozi wa vijiji na 7% wakiilaumu serikali kuu na hakuna aliyesema wananchi ndiyo wa kulaumiwa.
Matokeo haya yanaambatana na lawama ambazo viongozi wa vijiji ambao wamekuwa wakizituhumu halmashauri zao kwa kuchukua mapato yote vijijini hata yale ambayo vijiji imevibuni maeneo mengine. 

ANGALIZO: Huu ni mtazamo wa wasomaji wa Ohayoda na si msimamo wa Ohayoda

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda