Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Thursday, June 14, 2012

Fahamu kuhusu barua pepe(Email)

Na Alexander Stephen-HLH


Baru pepe, maarufu kama e-mail (Electronic mail) ni njia ya kubadilishana ujumbe wa kidijitali kutoka kwa mtumaji kwenda kwa mpokeaji mmoja au wengi. Barua pepe zinafanya kazi katika mtandao wa internet au mitandao mingine ya kompyuta, mifumo ya barua pepe ya zamani ilikuwa inaruhusu tu mtuma na mtuwa kuwa katika mtandao (online) kwa wakati mmoja.njia hii ilifahamika kama instant massaging.
Leo mifumo ya barua pepe inafanya kazi kwa mtindo wa kuhifadhi na kutuma kwa walengwa barua pepe yaani store-and-forward model.
Email server zinakubali kutuma, kuopokea na kuhifadhi ujumbe. Sio watumiji wala kompyuta zao zinazo takiwa kuwa online kwa wakati mmoja.wanacho hitaji tu ni kuunganishwa na Mail server kwakuwa inafanya kazi ya kuppoka na kutuma barua pepe
Barua pepe ina sehemu kuu tatu, bahasha(envelope), kichwa cha ujume(header), na ujumbe wenyewe(body). Bahasha inabeba taarifa mbalimbali kama anwani za mpokeaji,pamoja na tarehe na muda ujumbe ulipotumwa, wakati kichwa kinaelezeza kwa ufupi yaliyomo ndani ya ujumbe (Subject) , na ujumbe wenyewe.
Barua pepe zimesaidia kupunguza matumizi ya posta na kurahisisha mawasiliano kwa watu kwa gharama ya mtandao wa internet pekeyake.


1 comment:

  1. I love this, please keep it up the good spirit!

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda