Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Tuesday, June 26, 2012

Breaking News: Madaktari wagoma Haydom Lutheran Hospital

Hatimaye lile sakata la mgomo wa madaktari nchini limeikumba pia Hospitali ya Kilutheri ya Haydom ambapo madaktari wameanza rasmi mgomo leo hii. Ohayoda imethibitisha kuwa madaktari hao wengi wao wakiwa "Interns" wamegoma kufanya kazi hali iliyosababishia Mkuu wa Wilaya ya Mbulu ndugu Choya kufika hospitalini hapo.
Hadi wahati huu majira ya saa 12.40 jioni wakati tunaandika habari hii, mkuu huyo wa wilaya yupo katika mazungumzo na Madaktari hao ili kupata suluhu na utoaji huduma irudi katika hali ya kawaida. Ohayoda itawajuza yanayojiri katika kikao hicho baina ya DC huyo na hao madaktari..

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda