Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Tuesday, May 8, 2012

Yaliyojiri Miss Haydom Katika Picha


Mgeni Rasmi Christopher Michael (Kushoto) akiwa na mkurugenzi wa FMR Entertainment

Huyu mdau maarufu kama Pati akiwa makini kuafuatilia Mchakato mzima

Walimbwende wakiwa katika vazi la ubunifu
kutoka kushoto ni Linah Emmanuel, Agnes Michael, Magreth Pius na Lucy Stephano

Palikuwa hapatoshi ukumbini

Hapo vipi? Namwona Niwa akiwa makini upande wa kulia

Vitu anuai na Mzee Bambo

FMR Dancer wakishughulika jukwaani

Shabaro wa haydom akitoa bonge la Komedi

Huyuu jamaa ni soo, kwanza anavyotembea unaanza kucheka kabla hajaongea

Komedi hadi kwa mgeni rasmi

Watu Nyomiiiii

Katika vazi la usiku

Ndisha Ramadhani, Miss Manyara No. 2 mwaka 2011

Wakiwa katika shoo

Jaji mkuu akitangaza washindi

Meza kuu tayari kwa kutoa zawadi

Lucy Stephano akipongezwa na wapambe wake baada ya kutwaa taji la Haydom Miss Talent 2012

Miss Talent na Miss Haydom no 2 Lucy Stephano

Miss Haydom no 2 (Kushoto) na Miss haydom no 3 Linah Emmanuel

Watu peopleeee!

Grace, Pachalina na Rachel wakiwa makini kufuatilia shoo


Malkia wa Haydom 2012 Agnes Michael (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili LucyStephano(kushoto) na Linah emmanuel (kulia). Waliosimama ni mgeni rasmi Chris Michael (kushoto) na Mkurugenzi wa FMR Entertainment

Majaji, waandaaji na mgeni rasmi wakiwa katika picha ya pamoja na walimbwendeMagreth Pius akipokea zawadi Miss Haydom 2012 Agnes Michael


1 comment:

  1. Miss Haydom ...Agnes Michael .. Absolutely beautiful....

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda