Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Tuesday, May 22, 2012

Usiweke taa yako chini ya pishi, inua weka juu ya KIANGO!

Ohayoda ni sauti ya jamii katika kupeana habari, kuelimishana, kuhamasishana, kuonyana, kuburudishana, kurekebishana na kukosoana ili kujenga jamii iliyobora yenye misingi ya utu na demokrasia makini. Kama unapenda kushiriki katika kujenga jamii bora usisite kuwasiliana na ohayoda, iwe ni kutoa habari au kuandika makala mbalimbali zenye kuelimisha jamii yetu.
Kwa sasa Ohayoda inafanya kazi kwa kujitolea zaidi pasipo kufaidika kwa namna yoyote ile kifedha zaidi ya kuona fahari kuwa chombo cha jamii, lakini ili tuweze kuwapatia wasomaji wetu habari na makala zenye manufaa kwao tunahitaji fedha. Na kwa kuwa idadi ya wasomaji wetu inaongezeka kila kukicha tunapenda kuwakaribisha watu binafsi, makampuni na taasisi mbalimbali hasa zinazofanya kazi au zinazotoa huduma zinazowalenga wananchi wa vijijini hasa katika mikoa ya Manyara, Singida na Arusha kutangaza biashara zao kupita Ohayoda.
Pia kama unatangazo lolote, picha za matukio mbalimbali kama send off, harusi, misiba, semina au warsha, wasiliana nasi, nasi tutarusha tangazo au tukio lako. (Matangazo ya vifo na picha za matukio ya misiba zitarushwa BURE)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda