Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Tuesday, May 22, 2012

Shukrani kwa wazee wa Hengeni, Manghang

Baada ya kutengeneza filamu (documentary Film) ilibidi nirudi kwa hawa wazee 
kuwashukuru na kuwaonesha kazi tuliyofanya pamoja ili wakosoe kabla ya kutoa 
Final Version! Nawashukuru wazee kutoka kitongoji cha Hengeni kilichopo 
Maghang kwa ushirikiano wao mkubwa na timu nzima ya 4CCP
No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda