Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Sunday, May 6, 2012

Ni AGNES MICHAEL: Miss haydom 2012


Agnes Michael, Miss Haydom 2012
Hatimaye kile kitendawili cha nani atavikwa taji la malkia wa Haydom limeteguliwa juzi usiku kwenye ukumbi wa CCM hapa Haydom Baada ya Agnes Michael kutangazwa mshindi wa kwanza na Lucy stephano kuibuka mshindi wa pili ambaye aliibuka kuwa Miss Haydom Talent 2012 na Linah Emmanuel mshindi wa tatu.
Habari kamili na picha zitawajia hivi punde................ 

1 comment:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda