Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Saturday, May 12, 2012

Mustapha Akonaay afanya ziara kata za Maghang, Getarer na Haydom

Mbunge wa jimbo la Mbulu mheshimiwa Mustapha Akonaay yupo katika ziara ya kutembela wananchi katika kata za Maghang, Getarer na Haydom. Katika ziara hiyo, mbunge huyo atazungumza na wananchi wa kata ya Maghang baadaye atenda Getarer na baadaye saa tisa atakuwa Haydom kuzungumza na wananchi kisha na kuonana na uongozi wa Hospitali ya Kilutheri ya Haydom majira ya saa 12 jioni.
Mbunge huyo ataongea na wapiga kura wake ili kupata kero mbalimbali za wanachi hasa tunapojiandaa na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013
Ohayoda itakuletea matukio mbalimbali yatakayojiri katika ziara hiyo....

OMBI: Tafadhali usiache kupiga kura ya maoni kuhusu swali letu wiki hii lililopo upande wa juu kulia mwa blogu hii linalosema ``Ni idara ipi ya serikali inaongoza kwa rushwa?``

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda