Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, May 28, 2012

Mtukio katika picha


Mbulu Community Center-kama ulaya vile, sasa cheki hapa chini ni zahanati moja kwenye kijiji cha Endamilay, utajibeba kama hauamini
 Hii ni zahanati ya kijiji huko Endamilay, kata ya diwani maarufu na mwenye "Mkwanja mrefu" Geso Bajuta
 Jengo la kwanza kabisa la kanisa katoliki Mbulu

Hawa jamaa sijui majina yao ila walitembea toka Mbulu hadi Dar kuunga mkono azimio la Arusha, hapa walikuwa na Nyerere mwaka 1967
Masista wa Shirika la Prince of Glory wakiwa na watoto, Mbulu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda