Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Saturday, May 19, 2012

Miss Mbulu 2012: HAYDOM YAFUNIKA

Lucy Stephano ang'ara, Linah Emmanuel mshindi wa pili

Hayawi hayawi hatimaye yakawa, jana ikawa jana na hatimaye kitendawili cha nani kuibuka kidedea yaani atakayevikwa umalkia wa wilaya ya Mbulu kikateguliwa jana usiku katika ukumbu wa Kituo cha Jamii (Community Centre) kwa wawakilishi kutoka Haydom kuibuka kidedea kwa kushika nafasi za juu kabisa.
Lucy Stephano ambaye ni Miss Haydom No.2 hakuamini masikio yake pale alipotangazwa mshindi na kujinyakulia kitita cha shilingi laki tatu (300,000/=) huku Linah Emmanuel ambaye alikuwa Miss Haydom No. 3 akiibuka mshindi wa pili na kuweka kibindoni kitita cha shilingi laki mbili (200,000/=).

Habari zaidi na picha zitawajia hivi punde.....hapa hapa

 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda