Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, May 16, 2012

Matokeo ya Kura ya Maoni: Polisi waongoza kwa rushwa!

Kura ya moani iliyopigwa na wasomaji mbalimbali wa Ohayoda kwa muda wa wiki moja imebaini kuwa Jeshi la Polisi ndio kinara wa kutafuna rushwa katika Mikoa ya Arusha, Singida na Manyara.
Katika kura hiyo iliyokuwa inapigwa kupitia mtandao huu wa Ohayoda kuanzia Alhamisi iliyopita na kufungwa jana Jumatano majira ya saa 3 usiku, 57% wasomaji wa Ohayoda walidai kuwa Jeshi hilo ndio limekithiri huku Idara ya Ardhi ikiwa katika nafasi ya pili kwa kupata 26% ya kura zote na nafasi ya tatu ikienda kwa Mahakama kwa kupata 17%. Aidha idara za Afya na Elimu zimekuwa kidedea kwa kupata hati safi ya kutopigiwa kura kabisa.
Ohayoda inapenda kupongeza idara za Afya na Elimu kwa kuzingatia maadili ya kazi zao huku Jeshi la Polisi likitakiwa lijisafishe ili kutoa huduma bora kwa wananchi inavyotakiwa

HAYA NI MAONI YA WASOMAJI WA OHAYODA NA SI MSIMAMO WA OHAYODA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda