Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Tuesday, May 22, 2012

Masaa machache kabla hajaondoka: Mama Kari aaga jumuiya ya HLH

Ni kama siamini lakini ndo ukweli, mama Kari anarudi kwao baada ya kuishi hapa nchini hususani Haydom kwa zaidi ya miaka 50. Mengi kuhusu kurudi nyumbani (japo ni ukweli kuwa kwake yeye Haydom ni nyumbani zaidi kuliko Norway) nitayaeleza kwa kirefu katika makala ya SINTOFAHAMU ya Alhamisi hii, lakini hapo jana jumuiya nzima ya Haydom Lutheran Hospital (wafanyakazi na wanafunzi) walifanya hafla fupi ya kumuaga Mama Kari na hivi ndivyo ilivyokuwa hiyo jana
Dr Olav Espegren

Wanafunzi wa HSN

Emmanuel Mighay, Muuguzi mkuu wa HLH

Mama Kari akiwa mwenye huzuni, kushoto ni Muuguzi mkuu mstaafu Selina Sanka
Moyo Moja Group kutoka HSN wakitoa burudani


Zawadi toka HLH


Zawadi ya Ngoma kutoka kwaya ya HSN


Sulle...huyu jamaa alikuwa anavunja mbavu za watu

Moyo Moja...Stella na Nancy 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda