Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Friday, May 11, 2012

Kutoka Maktaba: Nyerere alipozindua ``To the Praise of His Glory`` ya Haydom Lutheran Hospital mwaka 1967

Mnamo mwaka 1967, aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifungua rasmi Hospitali ya Kilutheri ya Haydom HLH, na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwepo mradi wa maji kabla ya kwenda Arusha na kutangaza azimio maarufu kuliko yote pengine Afrika yaani Azimio la Arusha.
Wakati akitangaza azimio hilo, Nyerere aliitaja Haydom kama mfano wa kuigwa katika utekelezaji wa azimio hilo.
Maktaba yetu inakuletea picha za baadhi ya matukio yaliyojiri mwaka 1967 hapa Haydom

Nyerere akizindua motto wa HLH-To the Praise of His Glory
"Kwa Sifa na Utukufu" (iliyopo mapokezi ya HLH) huku akishuhudiwa Dr. Olaf Olsen

Haydom kutoka angali miaka hiyooNyerere akikagua HLH

Dr. Ole H. E. Olsen, J. K Nyerere na Dr. Olaf Olsen

Nyerere akiteta jambo na Mzee Mahiya (wa pili kushoto)

Moja ya miradi ambayo Nyerere aliisifia sana Haydom ni maji
hili ni tanki la maji ambao Nyerere alikagua mradi wa maji alipokuja Haydom 1967

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda