Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, May 9, 2012

KUTOKA MAKTABA: Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika na Miaka 50 ya Mama Kari Tanzania


Maandamano yakiongozwa na Dr. Olaf Espegren na Emmanuel Mighay

Wanafunzi wa Upgrade Nursing nao hawakuwa nyuma

Wanafunzi wa HSN nao walipamba shughuli

Wanfunzi wa Haydom School of Nursing wakiimba wimbo wa taifa

 Wimbo wa Taifa Mbele ya mapokezi ya HLH
twende kazi

Sijui ndo kapatia au anajaribu kuiga

 Kwaito kwenda Mbele
Mchungaji Yotham Girgis

Mama Kari

Sam, Nancy, Stella, Christinas, Sarah, Angel na Laura wakimwaga kwaito la nguvu

Hapo vipi`?

Mama Kari akiwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mbulu Mh. Zebedayo Daudi

Tumependeza hatujapendeza?

Muuguzi mkuu wa HLH Emmanuel Mighay (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Tiba wa HLHDr. Olaf Espegren huku Mchungaji Yotham Girgis akifuatilia matukio ukumbini

Mama Kari akiwa na mjukuu wake, duh hapa Oysten alitoa ``photocopy`` kwa huyu dogo
Picha zote kwa hisani ya 4CCP
Shukrani kwa Elifadhili Noah Genda na Janeth John Bee

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda